MBINU ZA
KUSOMA NA KUFAULU
MITIHANI
Kila
mzazi angependelea mwanae afanikiwe katika
masomo na kufaulu mitihani yake. Pia
kila mwanafunzi anahitaji KUFAULU
katika mitihani yake . Walimu nao
hujisikia vizuri wakati wanafunzi wao
wanapofanya vizuri katika mitihani
yao.
KUFAULU mtihani ni muhimu kwa
malengo ya mwanafunzi , kwani
anaposhinda mitihani humwezesha kuwa na
mtazamo wa juu kielimu , kwa
mfano KUPATA CHETI , DIPLOMA AU
DIGRII, kitu ambacho humfanya afae
kwenye KAZI. Wakati mwingine
inakuwa ni vigumu kwa baadhi ya
WANAFUNZI kumudu MASOMO na mitihani yao.
WAKATI HUO HUO wapo baadhi yao
ambao wao KUFAULU MITIHANI si
tatizo.
Sasa mtu anaweza kujiuliza , kwa
nini WANAFUNZI wengine WASHINDWE
na wengine WAFAULU vizuri katika Masomo
NA MITIHANI yao ? MAFANIKIO katika
MASOMO na KUFAULU MITIHANI kunahitaji
UWEZO WA ASILI , KUFANYA KAZI KWA
BIDII na KUFUATA KANUNI NA
MBINU ZA KUSOMA.
Wanafunzi wengine huona ugumu katika
MASOMO na KUFAULU MITIHANI , si kwa
sababu hawana akili , bali hawafuati
MBINU na KANUNI fulani za KUSOMA
na KUFAULU MITIHANI. WANAFUNZI
wengi wana uwezo mzuri , kama
watajifunza mbinu hizi.
Mbinu na kanuni hizi
zinazweza kutumiwa na wanafunzi wa
SHULE ZA MSINGI , SEKONDARI , VYUO
na hata VYUO VIKUU.
KANUNI ZA KUSOMA
{1}.
Weka LENGO maalumu la KUSOMA kila
siku na litimize.
{2}.
Jiandae kwa mtihani kila wakati , usingoje
mwalimu atangaze kuwa ataleta mtihani
ndipo usome. SOMA KILA SIKU.
{3}.Weka
RATIBA ya kila somo na ifuate.
{4}.Tenga
muda wa kutosha kwa kila somo.
{5}.Uwe
na mahali maalumu pa kusomea.
{6}.Epuka
kitu chochote kinachoweza kukufanya usisome
vizuri.
{7}.Tafuta
mahali pasipo na kelele za aina
yoyote.
{8}.Usifanye
mambo mengi kwa wakati
mmoja.Kwa mfano , MAPENZI au ANASA
ZA KIMWILI wakati ungali
mwanafunzi.Hivyo ni vikwazo masomoni.
{9}.Jijengee
tabia njema ya kujizuia katika tama
za mwili.
{10}.
Fanya MAZOEZI ya mwili mara kwa mara.
{11}.Jiwekee
MUDA wa kutosha kila siku kwa
ajili ya kazi za utoaji
taarifa za MASOMO na PROJEKTI.
{12}.Ni
jambo la busara kuwa na usiku mmoja
wa kumpumzika katika juma ambayo
si Jumapili au Jumamosi.
{13}.Ni
muhimu kujihusisha na watu wengine , jambo
hili litakufariji kimawazo.
WAKATI
WA KUJISOMEA
{14}.
Kabla hujaanza kujisomea , hakikisha kuwa
zana zote muhimu kwa kusomea zipo.
{15}.Epuka
vishawishi vinavyoewza kukufanya uairishe KUJISOMEA.
{16}.Tafuta
mahali pasipo na kelele za aina
yoyote.
{17}.Hakikisha
kuwa mahali pa kusomea
pana mwanga wa kutosha.
{18}.Usisome
mambo mengi kwa wakati mmoja.
{19}.Epuka
kusoma hadi usiku sana; utaharibu
afya yako.
{20}.Jisomee
katika MUDA unodhani unafaa zaidi.
{21}.Epuka
KUSOMA ukiwa umejilaza kitandani.
{22}.Uwe
na MUDA wa KUPUMZIKA kila
unapochoka KUSOMA.
{23}.Uwe
na muda mwingi wa KUJISOMEA
kila siku , usipoteze MUDA kwa mambo
yasiyo ya lazima kama vile MAONGEZI.
UNAPOKUWA
SHULENI / CHUONI / DARASANI FANYA YAFUATAYO
{24}.
Fika darasani kwa wakati unaotakiwa
ili usikose MAAGIZO.
{25}.
Usikose kipindi bila sababu maalumu.
{26}.Wakati
mwalimu hajafika darasani , pitia yale uliyojifunza
kipindi kilichopita.Soma kazi zako
zote za darasani kabla ya kuanza
darasa.
{27}.Wakati
Mwalimu anafundisha darasani SIKILIZA
KWA MAKINI kile anachofundisha na
mwangalie machoni mwalimu usiangalie pembeni .
{28}.Baada
ya kipindi , pitia yale uliyojifunza.
{29}.Chunguza
masomo yako ili ujue udhaifu wako
uko wapi.
{30}.Jenga
tabia ya UVUMILIVU na kamwe
usikate tama wakati ugumu unapoibuka
masomoni.
{31}.Jenga
tabia ya kupania KUFAULU katika
MASOMO yako. AMINI KUWA UTAFAULU.
{32}.Usiwe
MWANAFUNZI wa kukaa tu darasani, ULIZA
na JIBU MASWALI yanapoulizwa.
{33}.Epuka
kukaa kimya na nyuma ya darasa ,
bali shiriki katika mazungumzo ya
darasani na wenzako.
{34}.Ni
vizuri pia kuwa na MWENZAKO
wa kujadili naye.
{35}.Uwe
MWANAFUNZI mdadisi wa mambo kwa
walimu na hata kwa wanafunzi wenzako pia.
{36}.
Wasilisha kazi za darasani kwa
wakati wake.
{37}.Unapokuwa
na matatizo kimasomo, mwone mwalimu ,
anayehusika.
{38}.Hudhuria
shughuli zote za shule nje ya darasani.
{39}.
Jenga uhusiano mzuri kwa walimu wako
na kwa wanafunzi wenzako.Ukiwa na
AMANI moyoni , utasoma na kuelewa.
JISTAHI na KUWAPENDA walimu wako. Ukimpenda
mwalimu utalielewa vzuri somo lake.
{40}.Epuka
marafiki wabaya wenye nia ya kukupotosha.
{41}.
Epuka POMBE , UVUTAJI WA SIGARA , BANGI na
MADAWA YA KULEVYA.Huharibu ubongo na
kudhoofisha afya.
KABLA
YA MITIHANI FANYA HAYA
{42}.Kabla
ya mtihani , SOMA KWA BIDII SANA
usingoje mtihani umekaribia ndipo usome.
{43}.SOMA
kwa mpangilio kila siku ili
KUJIANDAA kikamilifu kwa
MTIHANI.
{44}.USIKU
unaofuatiwa na siku ya mtihani
uwe na MUDA WA KUTOSHA WA KULALA.
KULALA.Usisome hadi usiku wa manane.
SIKU
YA MITIHANI FANYA HAYA
{45}.Siku
ya mtihani , usifikirie kushindwa bali
uwe na IMANI kuwa utashinda.ONDOA
WASIWASI NA MASHAKA.
{46}.Wahi
kwenye chumba cha mtihani kwani kuchelewa
huleta HOFU.
{47}.Chukua
vifaa vyote muhimu katika mtihani kama vile
kalamu, penseli na rula.
{48}.Soma
MAAGIZO YA MTIHANI kwa uangalifu
sana, na hakikisha uko makii kwa kile
unchotakiwa kufanya kabla ya kujibu
swali lolote
{49}.
Kabla hujaanza kujibu maswali , angalia maswali
ambayo ni rahisi kwako kujibu.
{50}.JIBU
maswali rahisi kwanza na kwa haraka
ili upate MUDA wa kutosha kujibu
maswali magumu.
Asante
sana wanafunzi wangu wa SHULE ZA
MSINGI, SEKONDARI, VYUO na VYUO VIKUU
kwa kusoma makala hii nzuri sana.
Mwandishi wa makala hii ni MWL
JAPHET MASATU , anapatikana kwa + 255
716 924 136 , EMAIL, japhetmasatu@gmail.com
, DAR ES SALAAM, TANZANIA, AFRIKA YA
MASHARIKI.
MUNGU AWABARIKI WOTE
I’m Mark Russ , I contracted HIV in 2009, I was told by my doctor that
ReplyDeletethere’s no possible cure for HIV. I started taking my ARV’s, My CD4 was 77
and viral load was 112,450. I saw a website of Dr. Imoloa also I saw a lot
of testimonials about him on how he uses herbal medicine to cure HIV. I
contacted him and told him my problems, He sent me the herbal medicine and
I took it for 7 days after then I went for check-up and I was cured. The
medicine has NO SIDE EFFECT, there’s no special diet when taking the
medicine. He also cure DIABETES, EX BACK, ALS, HEPATITIS B, CANCER, HERPES
1) If you want your ex back.
(2) If you always have bad dreams.
(3) You want to be promoted in your
office.
(4) You want women/men to run after
you.
(5) If you want your own children
(6) You want to be rich.
(7) You want to tie your husband/wife to
be
yours forever.
(8) If you need financial assistance.
(9) How you been scammed and you
(10) and if you ant your herpes cure back
want to recover you lost money
(11) CANCER,
(12) DIABETES,
(13) HIV&AIdS,
(14) URINARY TRACT INFECTION,
(15) CANCER,
(16) IMPOTENCE,
(17) BARENESS/INFERTILIY
(18) DIARRHEA
(19) ASTHMA..
Also contact him with the above.
and lots more. You can reach him on drimoloaherbalmademedicine@gmail.com or
Whatsapp +2347081986098 all thanks to dr imoloa he is really a great man .I’m Mark Russ , I contracted HIV in 2009, I was told by my doctor that
there’s no possible cure for HIV. I started taking my ARV’s, My CD4 was 77
and viral load was 112,450. I saw a website of Dr. Imoloa also I saw a lot
of testimonials about him on how he uses herbal medicine to cure HIV. I
contacted him and told him my problems, He sent me the herbal medicine and
I took it for 7 days after then I went for check-up and I was cured. The
medicine has NO SIDE EFFECT, there’s no special diet when taking the
medicine. He also cure DIABETES, EX BACK, ALS, HEPATITIS B, CANCER, HERPES
1) If you want your ex back.
(2) If you always have bad dreams.
(3) You want to be promoted in your
office.
(4) You want women/men to run after
you.
(5) If you want your own children
(6) You want to be rich.
(7) You want to tie your husband/wife to
be
yours forever.
(8) If you need financial assistance.
(9) How you been scammed and you
(10) and if you ant your herpes cure back
want to recover you lost money
(11) CANCER,
(12) DIABETES,
(13) HIV&AIdS,
(14) URINARY TRACT INFECTION,
(15) CANCER,
(16) IMPOTENCE,
(17) BARENESS/INFERTILIY
(18) DIARRHEA
(19) ASTHMA..
Also contact him with the above.
and lots more. You can reach him on drimoloaherbalmademedicine@gmail.com or
Whatsapp +2347081986098 all thanks to dr imoloa he is really a great man .